January 30, 2015

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATATU tarehe 02/02/2015 na JUMANNE tarehe 03/02/2015 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 02/02/2015 `
Mbezi Tangi bovu,Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi,Shoko, Mwenge Survey,Kituo cha daladala Mwenge  na maeneo yanayozunguka,Kambi ya jeshi Lugalo , Hospitali ya Lugalo, Eneo lote la kawe ,NBC Kawe, Kiwanda cha 2000,Majembe Auction Mart Mwenge.

Tarehe 03/02/2015
Kunduchi yote,Kunduchi Pwani,Kunduchi Recruitment Training School (RTS) TPDF  ,Mbuyuni,MECCO,JKT machimbo,Tegeta darajani,Salasala kwa Mboma,Kilimahewa,Salasala Benaco,RTD Salasala,Salasala Kijijini,Shule ya Green Acres ,Baadhi ya maeneo ya  Kilongawima,Mbezi Africana,T-square bar,mbezi Majumba sita,Lugalo Salasala,Kinzudi, Goba,Baadhi ya maeneo ya  salasala,Wazo kwa Makamba,Wazo mji mpya,Shule ya sekondari wazo,Mivumoni,Madale,madale scourt. Baadhi ya maeneo ya  Mikocheni 'B',Kwa Mheshimiwa  Mwinyi , Mwalimu Nyerere,na Warioba  ,Baraka plaza,Regency park hotel,Eneo la Maji mchafu ,Heineken,Shekiland,Msasani kwa Mamwinyi,Soko la samaki,Double Tree hotel.,Nyumba za Serikali  Mikocheni,TPDC,Rose Garden,TTCL Kijitonyama,Earth satelite,Taasisi ya Vyuo vikuu vya Tanzania,Millenium tower,Letisia tower,CRJE,Heko Kijitonyama,Mjimwema,Kijitonyama Ali maua,Kijitonyama Kisiwani,Kwa Mheshimiwa Anna Makinda ,Contena bar,Eneo la Queen of Sheba,Bobs motel,Kanisa Katoliki  Kijitonyama,Hoteli ya Johannesburg , Wanyama na Lion , Iron & Steel industry.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment