January 10, 2015

TAARIFA KWA UMMA

Kuna nguzo ya ht imeungua eneo la kongowe kanisani ! Imesababisha kipawa tandika 33kv kuzima! Mafundi wamefika saiti wamesema kuwa panahitajika nguzo mpya!  mafundi wanaenda kuzima lbs ya kwenda mkuranga pale tandika substation! Tuombe kipawa control waturejeshee power kwenye Hiyo line ya kipawa tandika! Mkuranga itakuwa nje mpaka nguzo ibadilishwe.

No comments:

Post a Comment