January 28, 2015

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

                                            SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 30/01/2015 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Tarehe 30/01/2015

Baadhi ya maeneo ya barabara ya  Mwaya na Chole, Kota za Bandari, Fleti za NASACO , Kahama mining, Manzese, Valahala village,Kota za UNDP, Baobao village,Baadhi ya maeneo ya mtaa wa  Uganda, Morogoro store, Fleti za IFM , Hosteli za chuo cha Muhimbili (MUHAS), Kipepeo apartments, Mahakama ya Sea cliff , Hoteli ya Alexander na maeneo yanayozunguka.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.


No comments:

Post a Comment