February 4, 2015

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya IJUMAA tarehe 06/02/2015 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Tarehe 06/02/2015

Baadhi ya maeneo ya barabara ya  Mwaya na Chole, Kota za Bandari, Fleti za NASACO , Kahama mining, Manzese, Valahala village,Kota za UNDP, Baobao village,Baadhi ya maeneo ya mtaa wa  Uganda, Morogoro store, Fleti za IFM , Hosteli za chuo cha Muhimbili (MUHAS), Kipepeo apartments, Mahakama ya Sea cliff , Hoteli ya Alexander na maeneo yanayozunguka. Mbezi bondeni,Mtaa wa Luvent ,Mtaa wa Almas ,Shule ya Mwl Nyerere ,Mbezi Maguruwe,Barabara ya samba, Chui  na Aly Sykes ,Mtaa wa Beach ,BOT Mbezi ,TTCL Mbezi beach,Barabara ya Zena Kawawa ,Kanisa la Roman Catholic Mbezi beach, Mbezi miti mirefu, uwanja wa walenga shabaha, Jangwani beach, Belinda, Giraffe, Whitesands, na Green Manner hoteli, Baadhi ya maeneo ya  Kilongawima, Kota za NMC.


Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment