February 6, 2015

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

SABABU: Kukata miti iliyochini ya laini ya msongo mkubwa


TAREHE & MUDA
ENEO
Jumanne
10/02/2015             03:00 Asubuhi – 11:00    Jioni NA
ALHAMISI SAA
03:00-11:00JIONI
Ubungo kibangu, makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa,stop over, Temboni, suka, kwa msuguli, Kibanda cha mkaa, mbezi mwisho, king’ong’o, makabe, Mpigi magohe, kwembe, Malamba mawili na maeneo ya karibu.
Jumatano
11/02/2015              03:00 Asubuhi – 11:00    Jioni
Ubungo, Kimara Baruti,Bucha,Mwisho, Msewe
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0784/0715271461,  Au KITUO CHA MIITO YA DRARURA  2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
                       Tanesco-Makuu

No comments:

Post a Comment