February 12, 2015

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME – ILALAShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Jumatatu 16.02.2015       
 
MUDA:       Saa 03:00 Asubuhi hadi 12:00 jioni      .  
                                                 
SABABU:   Kubadilisha nguzo zilizoungua
Laini:           Kipawa gongo la mbotoMAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Stakisharri,Sabasaba,Mongolandege, Ulongoni A&B Moshi bar, Mombasa, Mazizini na Mzambarauni
     
Tafadhali usiguse waya wowote uliokatika,

Toa taarifa TANESCO kupitia namba No. 2138352, 0732997361; 0712052720; 0758880155; 0784 768581 or Call Centre No. 2194400 au  0786985100

Imetolewa na;
 Ofisi ya Uhusiano
 Tanesco-Makao Makuu         


No comments:

Post a Comment