February 6, 2015

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMATATU tarehe 9/02/2015,JUMANNE tarehe 10/02/2015 na JUMATANO tarehe 11/02/2015  kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha Nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

Tarehe 09/02/2015

Baadhi ya maeneo ya barabara ya  Mwaya na Chole, Kota za Bandari, Fleti za NASACO , Kahama mining, Manzese, Valahala village,Kota za UNDP, Baobao village,Baadhi ya maeneo ya mtaa wa  Uganda, Morogoro store, Fleti za IFM , Hosteli za chuo cha Muhimbili (MUHAS), Kipepeo apartments, Mahakama ya Sea cliff , Hoteli ya Alexander na maeneo yanayozunguka,Bagamoyo na Bunju yote.

Tarehe 10/02/2015

Kituo cha kuzalisha umeme cha  Mbezi .

Tarehe 11/02/2015
Baadhi ya maeneo ya  Mikocheni 'B',Kwa mheshimiwa  Mwinyi , Mwalimu Nyerere na Warioba  ,Baraka plaza,Hoteli ya Regency park, Eneo la Maji mchafu a,Heineken, Shekiland,Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki,Hoteli ya Double Tree,Earth satelite,Tume ya vyuo vikuu vya Tanzania,Millenium tower,Bobs motel,Hoteli ya Johannesburg , Wanyama na Lion ,Kiwanda cha  Iron na Steel, Nyumba za Serikali Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL Kijitonyama ,Earth satelite,   Letisia tower, CRJE, Heko Kijitonyama, Mjimwema, Kijitonyama Ali maua, Kijitonyama Kisiwani, Maeneo ya kwa Mh.Anna Makinda, Contena bar, Maeneo ya Queen of Sheba, Bobs motel, Kanisa la Katoliki  Kijitonyama, Hoteli za Johannesburg, Wanyama, Lion na Maeneo ya Jirani.

No comments:

Post a Comment