Shirika
la Umeme Tanzania TANESCO linasikitikakuwaarifuwateja
wake waMkoawaIlala, TemekenaWilayayaKisarawekuwakutakuwanakatizo la
umemekamaifuatavyo:-
TAREHE: Jumapili, 30 Machi, 2014.
SAA: Kuanzia
Saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni
SABABU: Kuunganisha
‘132kV busbar’ mpya Na iliyopo na Pia Kufanya Matengenezo ya ‘Gantry’ Kwenye Kituo cha Kipawa
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Airport Terminal 1, Julius Nyerere International Airport, Prince
Ware Industry, baadhiyamaeneoyaKiwalani, Part of Nyerere Road, Kipawa,
MajumbaSita, Sitakishari, Karakata, PEPSI, Airwing JWTZ, Banana, SIDO,
Murzah Oil, East African Cable, Metro Steel, Metro Plastic, Omar Packaging, Bakhressa
(Kipawa), Azam Ice cream (Vingunguti), Simba Net, Tanzania Brush, DHL -
Banda la Ngozinamaeneojirani, TAZARA Station naPampuyaMajiyaJNIA. NAMERA,
KIU, AVIATION HOUSE - Banana, MagerezaUkonga, Gongolamboto, Kipunguni, Kivule,
Mwanagati, Kinyantira, Majohe, Chanika, Kibeberu, Mongolandege, Pugu, Minaki,
Kisarawenamaeneojirani. Eneolote la TabatapamojanaKinyerezi, Segerea,
Bunyokwa, Kisukuru, Bangulonamaeneojirani.
Mengineni; Eneolote la Chang'ombe, ALAF, KAMAL Steel, Steel
Master, Quin Steel, Cello Industry, Bakhressa ISD, DPI Simbanamaeneojirani. Temeke
Hospital, TBC, baadhiyamaeneoyaTemeke, TemekeMikoroshini, Vertenary,
‘KilimonaUvuvi’, maeneoyoteyaTandika, MtoniKichangani, Mtonimashineyamaji,
Yomboyote, pamojanaYombobuza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, KwaLulengenamaeneojirani.
Tafadhaliusishikewayauliokatikatoataarifakupitiasimuzifuatazo:
: 022 213
3330, 0784 768586, 0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352,
and 0784768581.AuCall
centre numbers 022-2194400/ 0768 985 100.
Uongoziunasikitikakwausumbufuwowoteutakaojitokeza
Imetolewa na: Mhandisi Athanasius H. J. Nangali
MenejawaMkoa
TANESCO-Ilala.