March 27, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEMEShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitikakuwaarifuwateja wake waMkoawaIlala, TemekenaWilayayaKisarawekuwakutakuwanakatizo la umemekamaifuatavyo:-

TAREHE:     Jumapili, 30 Machi, 2014.

SAA:               Kuanzia Saa 02:00 Asubuhi hadi Saa 12:00 Jioni

SABABU: Kuunganisha ‘132kV busbar’ mpya Na iliyopo na Pia Kufanya Matengenezo ya ‘Gantry’ Kwenye Kituo cha Kipawa

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Airport Terminal 1, Julius Nyerere International Airport, Prince Ware Industry, baadhiyamaeneoyaKiwalani, Part of Nyerere Road, Kipawa, MajumbaSita, Sitakishari, Karakata, PEPSI, Airwing JWTZ, Banana, SIDO, Murzah Oil, East African Cable, Metro Steel, Metro Plastic, Omar Packaging, Bakhressa (Kipawa),  Azam Ice cream (Vingunguti), Simba Net, Tanzania Brush, DHL - Banda la Ngozinamaeneojirani, TAZARA Station naPampuyaMajiyaJNIA. NAMERA, KIU, AVIATION HOUSE - Banana, MagerezaUkonga, Gongolamboto, Kipunguni, Kivule, Mwanagati, Kinyantira, Majohe, Chanika, Kibeberu, Mongolandege, Pugu, Minaki, Kisarawenamaeneojirani. Eneolote la TabatapamojanaKinyerezi, Segerea,  Bunyokwa, Kisukuru, Bangulonamaeneojirani.

Mengineni; Eneolote la Chang'ombe, ALAF, KAMAL Steel, Steel Master, Quin Steel, Cello Industry, Bakhressa ISD, DPI Simbanamaeneojirani. Temeke Hospital, TBC, baadhiyamaeneoyaTemeke, TemekeMikoroshini, Vertenary, ‘KilimonaUvuvi’, maeneoyoteyaTandika, MtoniKichangani, Mtonimashineyamaji, Yomboyote, pamojanaYombobuza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, KwaLulengenamaeneojirani. 

Tafadhaliusishikewayauliokatikatoataarifakupitiasimuzifuatazo:
: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586, 0684001066, 0684001068, 0684001071, 0222138352, and 0784768581.AuCall centre numbers  022-2194400/ 0768 985 100.

Uongoziunasikitikakwausumbufuwowoteutakaojitokeza

Imetolewa na:  Mhandisi Athanasius H. J. Nangali
MenejawaMkoa
                        TANESCO-Ilala.

No comments:

Post a Comment