March 6, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:          Jumamosi  08/03/ 2014 

MUDA:              02:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:          Kubadilisha nguzo mbovu na kukata matawi ya miti yanayogusa laini kuu ya umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Mbagala, Kijichi, Kongowe, Mkuranga, Viwanda vya Camel Cement, KTM, AM Steel, Maweni na maeneo yote jirani.
  
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU. 
                           

No comments:

Post a Comment