Shirika
la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu
wateja wake wa Mkoa wa Pwani na Ilala
kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
MKOA WA PWANI:
TAREHE: 14/03/2014; Ijumaa
SAA: 4:00 Asubuhi- 11:00 Jioni
SABABU: Kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo chakavu kwenye
njia ya umeme ya Lugoba ya msongo wa 33kV
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Chalinze,
Msoga, Mboga, Lugoba, Msata, Wami kituo cha kusukuma maji, Mandera, Miono na
Mbwewe
MKOA WA ILALA:
TAREHE: Jumamosi 15/03/2014
SAA: 3:00 Asubuhi - 12:00 Jioni
SABABU:
Kufanya Ukarabati, Kubadilisha Nguzo
Zenye Matatizo na Kuweka Waya wa Kuzuia Radi
Pamoja na Kumuunganishia Wateja Wakubwa Umeme M/S Expresse Hotel Ltd na
Nevada Golden Coins Ltd Kwenye Njia Kuu ya Umeme ya Sokoine Yenye Msongo wa
kilovolt 33
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Amani
Place, FNB Bank, Mafuta House (Benjamin W. Mkapa Tower), Hosipitali ya Saratani
ya Ocean Road, Hoteli ya Kilimanjaro (Hiyatt), Jengo la Kitega uchumi, Mahakama
Kuu, Wizara ya Elimu, Jubilee Tower, Wizara ya Afya, Wizara ya Nishati na
Madini, Ofisi ya waziri Mkuu, Ofisi ya TANESCO Mkoa wa Ilala, Steers, CRDB tawi
la Holland, NMB House Samora, Ofisi ya
Habari na maelezo Samora, CDC, WAMA, Mtaa wa Lithuli, Kivukoni Ferry, Hoteli ya
New Africa ,Mahakama ya Rufaa, Umoja House, Jengo la mikutano la Mwalimu Nyerere,
Benki kuu ya Tanzania, Palm residence, Chuo cha Utalii, Police Marine , Mtaa wa Shaban Robert, Mtaa wa
Mirambo, Barabara ya Umoja wa Mataifa/Fire, Hospitali ya Regence, Uhuru Height,
Sukari house, NDC, BOT, Kitega Uchumi, Mtaa wa Obama, Baadhi ya mtaa wa
Samora na maeneo mengine ya jirani.
Tafadhali
usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586,
Mkoa wa Pwani: 0657 108782. au Call centre namba 2194400 au 0768 985 100
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO –
MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment