Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa
Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa
kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
MUDA: 3 Asubuhi – 11 Jioni
SABABU: Matengenezo, kukata miti na kubadilisha
nguzo zilizooza
TAREHE: 12, Machi, 2014
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Tunisia, Barabara ya Kinondoni na Msese, Tazara
club, barabara za Kaunda na Kenyatta, mtaa wa Laiboni, Kinondoni shamba na Ada
Estate, Balozi za Ufaransa, India, Urusi, Japan na Kenya, makazi ya Balozi wa
Ujerumani na Uswisi, makazi ya Rais wa Zanzibar, Stanbic/Ocean front building.
TAREHE: 13, Machi, 2014
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Hoteli ya Sea Cliff, TPDF Masaki mwisho, Government
quorters Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip way, Trauma
hospital, Mahando street, and surroundings, Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la
Mitihani Mbezi, Shule ya St.Marys Mbezi, Mbezi Garden, Ndumbwi, Mbezi kwa
Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo
flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television, Maaza juice factory,
viwanda vya Polypet, Interchik na Chemi & Cotex.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584, 0716 768584 Au
Call centre namba 2194400.
Uongozi
unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na: OFISI
YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment