March 4, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      6/3/2014

MUDA:           3 Asubuhi – 11 Jioni

SABABU:      Matengenezo,Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Tunisia, Kinondoni na barabara ya Msese, Tazara club, barabara za Kaunda na Kenyatta, mtaa wa  Laiboni, Stanbic bank/Ocean front, Kinondoni shamba na Ada estate.  ITV na Radio One, Tan pack tissues, Mwenge Kijijini, Bamaga, Chuo cha Ustawi wa Jamii, Hongera bar, Science Commission/Tume ya Sayansi, Polisi Mabatini, ghorofa za Chuo cha Ustawi wa Jamii, Afrika sana, TRA Mwenge, Shule ya Msingi Mapambano, ghorofa za Chuo Kikuu cha Dar es salaam, mtaa wa Meeda bar, eneo la Blue bird, flats za Jeshi Mwenge, Hospitali ya Mama Ngoma, TBC flats, mtaa wa Ikangaa, BOT flats, Kijitonyama kwa Mwarabu

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment