March 17, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE NA MUDA
SABABU:
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumatano
19,Machi 2014
3 Asubuhi-11 Jioni                                               
Matengenezo,Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza.
Baadhi ya maeneo ya Mikocheni 'B', maeneo ya jirani na makazi ya Mh.Mwinyi, Mwalimu Nyerere na Warioba, Baraka plaza, eneo la Maji mchafu, Heineken, Shekiland, Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki, hoteli za Regency park ,Double Tree na Sea Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho, nyumba za serikali Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip way, hospitali ya Trauma hospital, mtaa wa Mahando na maeneo yanayozunguka.
Alhamisi
20,Machi,2014
3 Asubuhi-11 Jioni
Matengenezo,Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza.
Mbezi Tangi bovu, Mbezi Lyagunga, Mbezi Zawadi, Shoko, Mwenge Survey, stendi ya mabasi Mwenge na maeneo yanayozunguka.Kambi ya jeshi Lugalo, hospitali ya Lugalo, eneo lote la Kawe, NBC Kawe, 2000 Industries Ltd, Majembe Auction Mart Mwenge
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment