TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSIN
Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kukata miti kwenye laini ya msongo mkubwa, kufunga swichi,
kubadilisha nguzo zilizooza.na
matengenezo kwenye kituo cha kupozea umeme cha ubungo.
DATE
|
TIME
|
AREA
|
Jumatano
08/01/2014
|
Saa 03:00
Asubuhi hadi
11:00 jioni
|
Ubungo kibangu, makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, kimara Temboni, Kimara suka, kwa msuguli,
Kibanda cha mkaa, mbezi mwisho, king’ong’o, makabe, Mpigi magohe, kwembe, kibamba, Malamba mawili na maeneo ya jirani.
|
Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
|
Mabibo, makuburi, mandela road, mabibo jeshini, ubungo kibangu, mabibo relini, mabibo shungashunga, ubungo
maziwa,mabibo hostel, coast miller na maeneo ya jirani.
|
|
Alhamisi
09/01/2014
|
Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
|
Ubungo kibangu, makoka, Kimara Mwisho, Bonyokwa, Kimara stop over, kimara Temboni, Kimara suka, kwa msuguli,
Kibanda cha mkaa, mbezi mwisho, king’ong’o, makabe, Mpigi magohe, kwembe, kibamba, Malamba mawili na maeneo ya jirani.
|
Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
|
Sinza uwanja wa tipi, Sinza Vatican,Sinza Kijiweni,Sinza Namnani hotel,Sinza Lion Hotel,Sinza Kumekucha,Sinza
kwa Remmy,Sinza Mwika na maeneo ya jirani.
Sinza madukani, sinza mugabe, Rombo green view, Legho na maeneo ya karibu
|
|
Jumamosi
11/01/2014
|
Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni
|
Mabibo, Mabibo mwisho, mabibo jeshini, mabibo relini, ubungo maziwa
TANESCO Head office,Ubungo maji, kimara korogwe, kimara mavurunza, msewe, kimara bucha,Kimara bahama mama
University of Dar es salaam, Ardhi University (UCLAS), Survey, Majumba Ishirini, Makongo chini,
Mabibo, makuburi, mandela road, mabibo jeshini, ubungo kibangu,
mabibo relini, mabibo shungashunga, ubungo maziwa,mabibo hostel, coast
miller
(Ubungo bus terminal, TBS, Dar Brew, sinza Mugabe, Sinza ukuta wa posta, Rombo Green View, Legho, manzese part.
(na maeneo ya jirani
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo
0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na;
Ofisi ya Uhusiano
Tanesco-Makao Makuu
No comments:
Post a Comment