Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE
|
SABABU
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Alhamisi
23 Jan. 2014
08:00 – 18:00 jioni
|
Kubadilisha nguzo za umeme mkubwa chang,ombe gold star zilizooza na kuvuta waya zilizokatika maeneo ya TEMEKE pile.
|
Maeneo yote ya MTONI, MTONGANI, BANK-CLUB, KICHANGANI, KINDANDE, MBAGALA MISSION, NDENGELEKO
|
Ijumaa
24 Jan. 2014
09:00 – 16:00 mchana
|
Kubadilisha line kutoka kwenye nguzo zilizooza kwenda kwenye nguzo mpya.
|
Maeneo yote ya MBAGALA, KONGOWE na MKURANGA
|
Jumamosi
25 Jan. 2014
09:00 – 18:00jioni
|
Kufunga Auto recloser kwenye line ya mkuranga
|
Maeneo yote ya KIGAMBONI, MJIMWEMA, TUANGOMA,KIBADA, GEZAULOLE;
CHANG’OMBE
VIWANDANI KAMA SERENGETI, KONYAGI, INSIGNIA, SOKOTA, NATIONAL STADIUM,
TEMEKE MUNICIPAL NA MAENEO JIRANI; MAENEO YA NYERERE RD
VIWANDANI KAMA TCC, BORA, BINFIJA, PANASONIC, MANSOORDAYA, TTCL,
SUPERDOLLY, KIUTA na maeneo jirani.
|
Kubadilisha nguzo iliyooza maeneo ya chang,ombe.
|
||
Jumapili
26 Jan, 2014
09:00 – 17:00 jioni
|
Kubadilisha nguzo kubwa iliyooza maeneo ya keko MSD.
|
Maeneo ya keko mwanga, MDS, KEKO PHARMACEUTICAL na maeneo jirani.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia
Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na :
Ofisi ya Uhusiano
Makao-Makuu
No comments:
Post a Comment