January 22, 2014

MKOA WA PWANI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:      24/01/2014; Ijumaa
                    
SAA:   4:00 Asubuhi- 11:00 Jioni
SABABU: Kufanya matengenezo, kubadilisha nguzo zilizooza katika Line ya Msongo  wa 33KV
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Baadhi ya eneo la Mlandizi,Ruvu,JKT,Vigwaza,Kwala,Chalinze,Msoga , Lugoba,
Msata, Wami, Mandera, Miono,Mbwewe,Mdaula,Ubena,Sangasanga,Ngerengere,
Kidugalo na Bwawani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
0657 108782 au kituo cha kupokelea miito ya simu 2194400  au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Limetolewa na :-                  
                          Ofisi ya Uhusiano;
                                                 TANESCO-Makao Makuu

No comments:

Post a Comment