January 6, 2014

MKOA WA ILALA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA UMEME MIKOA YA ILALA NA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mikoa ya Ilala na Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: Jumanne, 07January, 2014
MUDA:         Saa 05:00 asubuhi hadi saa 08:00 mchana .  
SABABU:   Kuweka ‘Guy Pole’ na kuvuta waya za line ya msongo mkubwa (11Kv) eneo la Kiwalani-  Barabara ya Nyerere.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Metro Steel Industry, East African Cable Industry, A One Product, Kiwalani Kijiwe Samli, kwa Guru kwa walemavu na jirani, Water pumping Station for JNIA, Industrial District Office, TBC, Temeke, Temeke Mikoroshini, Vertenary, ‘Kilimo na Uvuvi’, eneo lote la  Tandika, Mtoni Kichangani, Mtoni mashine ya maji, eneo lote la Yombo, kujumuisha Yombo Buza, Vituka, Kwa-Limboa, Davis Corner, Kwa Lulenge na maeneo ya jirani.
Tafadhali usishike wala kukaribia waya uliokatika, toataarifa kupitia namba hizi: 2194400, 0786985100, 2138352, 0732997361, 0712052720, 0758880155, 0784768581, 0715768586, 0715768587, 0684001066 AU Call Centre No. 2194400 AU 0786985100.
Uongozi unasikitika Kwausumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,  
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment