May 7, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA ILALA NA KINONDONI KUSINIShirika la Umeme Tanzania  (TANESCO) Linawataarifu Wateja wake wa Mikoa ya Ilala na Kinondoni Kusini Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama kama ifuatavyo:-
MKOA WA ILALA:
TAREHE: 10/05/2014
MUDA: 3:00Asubuhi – 11:00Jioni
SABABU: Kubadilisha Nguzo za Msongo Mkubwa wa Umeme zilizooza na Kukata Miti.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais,Wizara ya Elimu,Chuo cha maendeleo ya utumishi wa Umma Magogoni,Wizara ya Aridhi Nyumba na makazi,Wizara ya Fedha, WAMA,
TACAIDS na maeneo ya jirani.
MKOA WA KINONDONI KUSINI:
TAREHE: 8/5 – 11/5/2014
MUDA: 3:00Asubuhi – 11:00Jioni
SABABU:        Kubadilisha nguzo zilizooza katika njia kubwa ya umeme na Kufanya matengenezo
katika kituo cha kupozea umeme cha Tandale.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani ,Namnani Hotel, Iteba, Sinza Kijiweni,  Sinza Kumekucha,Sinza Mwika, Tandale Magharibi,Tandale Uzuri ,Manzese Uzuri, Manzese Tip top, Manzese darajani, Msikiti wa Kione, Manzese Kwa Mfuga Mbwa, Manzese RC church, Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki Quarters, Tandale kwa Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale Behobeho, Tandale kwa Tumbo, Tandale Shuleni, Kanisa Katoliki Tandale, Tandale Sokoni, Zahanati ya Tandale, Urafiki Textile, TSP Ltd, Millenium business, Sinza Lion Hotel, Rombo Sunflower, Strabag compound, Engen petrol station, Manzese Hill Top, Tandale Chakula Bora, maeneo yote ya Bondeni Bar, Manzese Mwembe Mkole, Manzese Bingo, Urafiki China residence na maeneo yanayozunguka.
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga Ofisi ya Mkoa wa Ilala 022 213 3330, 0784 768586, Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini 0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461,
(Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na :    OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment