May 14, 2014

MKOA WA TEMEKE

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 16/05/ 2014, Ijumaa 
MUDA:    3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni
SABABU: Kufunga Transfoma jipya eneo la Gezaulole
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Maeneo yote ya Mjimwema, Kibada, Mikwambe, Beach Hotel, mwongozo,Kimbiji, Lake Cement, Kibugumo na Amani Beach Hotel.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, Dawati la dharura Kigamboni 0788499014, 0736501661 au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
                                  Imetolewa na : 
                           Ofisi ya Uhusiano                             
                  Tanesco-Makao Makuu                                                       

No comments:

Post a Comment