May 7, 2014

KINONDONI KASKAZINI

KATIZO LA UMEME-KINONDONI-KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:
SABABU: 
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA 
Jumatano
07,Mei,2014
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni                                               
Matengenezo,Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza.
Goba,Sehemu ya Eneo la salasala, Wazo kwa Makamba,Wazo mji mpya,wazo sekondari, Mivumoni, Madale, madale scourt
Alhamisi
08,Mei,2014
3:00 Asubuhi-11:00 Jioni
Matengenezo,Kukata miti,kubadilisha Nguzo zilizooza.
Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, St.Marys school mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde,Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television, Maaza juice factory,Polypet industry,  Interchik,Kiwanda cha Chemi & Cotex , Toure drive, Sehemu ya Barabara ya Chole, Katoke street, Mawenzi, Golden Tulip, Cocobeach, International school of Tanganyika, Mahenge street, Ghuba rd, Sehemu ya barabara Msasani ,Oysterbay hotel, Ubalozi wa Falme za Kiarabu ,Mlale, Mzinga way, Sea Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho, Government quorters Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip way, Trauma hospital, Mahando street, Bandari quorters, NASACO flats, Kahama mining, Manzese, Valahala village, UNDP quorters, Baobao village, Morogoro store, IFM flats, Muhimbili (MUHAS) university hostel, Kipepeo apartments, Sea cliff court, Alexander hotel na Maeneo ya Jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo 022 2700367, 0784 768584,  0716 768584 Au Call centre namba 2194400.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:   OFISI YA UHUSIANO,
                          TANESCO-MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment