November 10, 2014

KATIZO LA UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya  JUMATANO tarehe 12/11/2014 na ALHAMISI 13/11/2014 tarehe kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni Matengenezo, kukata miti, na kubadilsha Nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-
Tarehe 11/11/2014
Mikocheni business area,Ushindi primary school,BIMA flats,Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God,Barabara ya Cocacola , Msasani beach, Kawe beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment ,K-Net tower. Mwananyamala 'A' & 'B', Mwananyamala hospital, Mwananyamala Kisiwani, Ujiji, Kwa Kopa, Kwa Mama Zakaria,Makumbusho Sokoni, Mwananyamala kwa Kidile, Mchangani, Meridian,Vijana, Masai pub, Maeneo ya Sheikh Yahaya, Shule ya msingi Ukombozi, Garden Police post.

Tarehe 12/11/2014
Toure drive,baadhi ya Maeneo barabara ya Chole ,Mtaa wa Katoke ,Mawenzi,Golden Tulip, Cocobeach, Shule ya Kimataifa ya  Tanganyika, Mtaa wa Mahenge, Barabara Ghuba ,baadhi ya naeneo barabara Msasani ,Oysterbay hotel, Ubalozi wa Falme za Kiarabu ,Mtaa  Mwaya ,Mlale, Mzinga way Sea Cliff hotel, TPDF Masaki mwisho,Kota za Serikali  Masaki, Coral beach, Coral lane, Yatch club, Slip way, Trauma hospital, Mtaa wa Mahando,  Kinondoni 'A & B', Baadhi ya Maeneo Kinondoni block 41, Biafra, Kanazi ,Togo, Wibu streets,Open University of Tanzania,Ufipa,Kinondoni Moscow,and Livingstone streets,Hananasifu,Mkwajuni,Kinondoni studio,Manyanya, Kambangwa secondary. Tunisia, Barabara ya  Kinondoni, Msese, Tazara club ,Kaunda, Barabara ya Kenyatta, Mtaa wa Laiboni, Stanbic bank/Ocean front, Kinondoni shamba, Ada estate, Mtaa wa Karume  Karume na  Tumbawe, Barabara ya Hill ,Kajificheni close, St.Peters,Don Bosco,Kinondoni block 41,Indonesian embassy;Uwanja wa Farasi,  Josho la mbwa,baadhi ya Maeneo ya barabara ya  Msasani, Ubalozi wa Nigeria na Century hotel.
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.No comments:

Post a Comment