November 10, 2014

katizo la umeme – mkoa wa temekeShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawtaarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Alhamisi 13/11/ 2014

MUDA:            03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:       Kuondoa nguzo za msongo wa 11kv amabazo ziko barabarani ili kupisha ujenzi wa barabara   zinazounganisha daraja la Kigamboni na barabra ya Mandela.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Kurasini, Bandari, TICTS na maeneo yote ya   Mbagala na maeneo ya jirani, maeneo yote ya kigamboni  ukiondoa Tuangoma.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:- 022 2138352, 0712 052720,0788 499014,0736 501661 au Kituo cha miito ya simu      022 2194400 /0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment