November 10, 2014

TRANSFOMA YA KITUO CHA TEGETA IMEZIMA GHAFLA

Transfoma ya kituo cha Tegeta imezima ghafla saa 9.15 Novemba 10, maeneo yanayokosa umeme ni Mbezi yote, Goba yote, Madale yote na Wazo.

Mafundi wanafuatilia kurekebisha tatizo tutaendelea kuwafahamisha.

Imetolewa na  Ofisi ya Uhusiano
                        Tanesco Makao Makuu

No comments:

Post a Comment