November 12, 2014

TANGAZO LA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

RATIBA YA KATIZO LA UMEME

SABABU:  MATENGENEZO  KWENYE  MIFUMO  YETU YA KUSAMBAZIA  UMEME.

TAREHE:  15/11/2014  ( JUMAMOSI  )

 MUDA
ENEO
   0300 Asubuhi – 1100 Jioni
 ENEO LOTE LA MBEZI  LUIS, UBUNGO  DARAJANI, ENEO LOTE LA KIMARA, MAKOKA,KIBAMBA,CHANGANYIKENI,KISIWANI,MBEZI  MAKONDEKO GOLANI,MAKONGO  JUU, ENEO  LOTE LA MAGOMENI,TANDALE, MANZESE, KIGOGO, MABIBO, SINZA, MLIMANI CITY, TCRA, CHUO CHA SHERIA, UBUNGO PLAZA, TSP, URAFIKI, STRABAG,    NA MAENEO YOTE YA JIRANI.Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo  0784-271461, 0715-271461,  Au Kituo cha miito 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment