Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa
Mikoa ya Ilala na Temeke kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama ifuatavyo:-
MKOA
WA ILALA:
TAREHE: Jumamosi 14/12/2013
MUDA: 03:00
Asubuhi hadi 11:00 Jioni
SABABU: Kufanya Matengenezo
na kukata matawi ya miti kwenye njia ya Umeme ya msongo Mkubwa
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
TRA
Long Room, Makao makuu ya TRA, Makao makuu ya Polisi, Bandari, TASSAF, PPF
Water Front,
Mtaa wa Lugoda, City Garden Restaurant, Shoprite
kamata, Mtaa wa Makamba, Baadhi ya maeneo ya
Shule
ya Uhuru, Mtaa wa Muheza, Mtaa wa Samora, J mall, harbor View Hotel, TRA
Samora, TTCL
Makao
Makuu, Benki ya mkombozi, Shule Ya sekondari ya Forodhani, AZAM Marine, Ofisi
za jiji, Mtaa
wa
Mansfield, Hospitali ya Mnazi Mmoja, Baadhi ya maeneo ya mtaa wa Uhuru, Mtaa wa Lumumba
Mtaa wa Bibi Titi, Hoteli ya Peakock, Benki ya
wananchi wa Dar-Es-Salaam, Ofisi za Tigo
Mtaa
waLugoda na maeneo mengine yanayohusika.
TAREHE: Jumapili 15/12/ 2013
MUDA: 03:00
Asubuhi – 12:00 jioni
SABABU: Kumuunganisha mteja
mpya na kukata miti katika laini ya kilo volti 11 maeneo ya katikati ya mjie.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
A.H.
Mwinyi, Sea View, Hospitali ya Agakhan, Hoteli ya Protea Hotel, Lasvegas
Casino, Barabara ya Ally Hassan Mwinyi, Barabara ya Alkan, Mtaa wa Kimara,
Mitaa ya Kilombero, Longido, Ruhinda. na
UN,
MKOA
WA TEMEKE:
TAREHE: Jumapili 15/12/ 2013
MUDA: 03:00
Asubuhi – 12:00 jioni
SABABU: Kufanya ukarabati kwenye laini ya
umeme.
MAENEO
YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya KURASINI , Mtoni Sabasaba, Mtoni kwa wandengereko, Mtoni Kwa Azizi
Ally, Achimwene, Mkunguni, Mbagala
Mission, Container Terminal, Chuo cha Uhasibu, Kiwanda cha lami,
Biashara Club Kurasini, Kona Kali, Highway, Keko Akida, Keko Machungwa,
Mivinjeni, Shimo la Udongo, Bandari Qtrs, Chuo Kikuu cha Polisi, Polisi Kilwa
Rd, Polisi Farasi/Mbwa, Baraza la Maaskofu, Walima Mchicha Kurasini, Kijiji cha
Wavuvi Kurasini, Malawi Cargo, Transcargo, TICTS, Oil Com near UDA, TAZAMA,
TAFICO, Zamcargo, East Coast Oil Millers, 21st Century (Ex-NMC),
NHIF HQ, Mission to Seamens, Bendera
Tatu Kurasini, Bandari Gate No.3 and Wapo Radio . Eneo lote la Mbagala, Kigamboni,
Kongowe na Mkuranga
Tafadhali usishike waya uliokatika toa
taarifa kupitia simu zifuatazo: Huduma za Dharua TANESCO Ilala 022 213 3330,
0784 768586,0715768586, Dawati la
dharura Mkoa wa Temeke:- 0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha
miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote
uliojitokeza
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO
– MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment