December 10, 2013

KATIZO LA UMEME – MKOA WA PWANIShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Pwani kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya ALHAMISI tarehe 12/12/2013 kuanzia saa 02:00 asubuhi hadi 11:00 jioni.  Sababu ni kufunga nyaya kwenye laini mpya iendayo Msanga - Maneromango ya msongo wa kilovoti 33 kuanzia eneo la mwisho wa lami hadi Pugu.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:                                                 
Mwisho wa Lami, Pugu, Majohe, Chanija, Buyuni, Kipawa Mpya na Kisarawe.

 Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo: 023 2440061, 0657 108782, 0785 122020 au kituo cha kupokea miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.                  
                                               

No comments:

Post a Comment