December 19, 2013

KATIZO LA UMEMEKatizo la umeme –Ilala na Temeke

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa ya Ilala, Temeke kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama ifuatavyo:-

MKOA WA KINONDONI KUSINI:

TAREHE:              Jumamosi 21/12/2013

MUDA:                 03:00 Asubuhi hadi 18:00 Jioni

SABABU:           Kumuunga Mteja DPI Simba Plastic eneo la Chang’ombe -  Barabara ya Mbozi

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Kamal Steel, Steel Master, Quim Steel, Azam Bakhresa ISD; Cello, Sila Africa; Quality Centre (Uchumi House),  TBC, Sehemu za Viwanda maeneo ya Mbozi Rd na Saza Rd.

Tafadhali usishike wala kukaribia waya uliokatika, toa taarifa kupitia  namba hizi: 2138352, 0732997361; 0712052720; 0758880155; 0784 768581, or Call Centre No. 2194400 OR 0786985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote uliojitokeza

Imetolewa na:      OFISI YA UHUSIANO,
                                           TANESCO – MAKAO MAKUU.
  

No comments:

Post a Comment