June 4, 2015

KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala na Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:       Jumamosi 06/06/2015;.
                    
SAA:               3:00 Asubuhi- 12:00 Jioni

SABABU: KUFANYA  MATENGENEZO KWENYE  KITUO CHA KUSAMBAZA UMEME
                  BUGURUNI.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:


Mandela Road,Bonde la Sukita, Tabata Dampo, Swiss Air, Bakheresa, NMC, NECCO, Engineering, Baathi ya maeneo ya Buguruni Myamani, Saafa Plastic, Murzal Soap, Buguruni Alhamza, Maeneo mengi ya Vingunguti, Tropical Food, Jambo Plastic, Kiwanda cha Becco, Ok Plastic, Bautech, DT Dobie, Nyota Venture Company Ltd, Calico Complex, Africaries, Premier Cashnuts, Food Investment, Mingyong Industry, Sub Scania, Kiwanda cha Tri Cover, General Motors, Nas Tyres, PMM, Master Mind, Bittle  Motors, A One product, Sadolin, Five Star Printer, Tazara Police, Azania string, Kiwanda cha  Delta, Kiwalani Minazi Mirefu, Bombom, Makazi Mapya, kwa Dingu Bita, Kwa Binti Musa, Yombo kwa Walemavu.

 

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Dawati la dharura Mkoa wa Ilala- 022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85 86 au Kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100
Tabata Emergency Desk- 0684001068

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:  Ofisi ya Uhusiano
                          Tanesco- Makao Makuu

No comments:

Post a Comment