June 9, 2015

MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
KATIZO LA  UMEME – MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MUDA:            3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni

SABABU:       Matengenezo, kukata miti na kubadilisha nguzo zilizooza.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI:-

JUMATANO, TAREHE 10/06/2015
Kunduchi yote, Kunduchi Pwani, Kunduchi Recruitment Training School (RTS), Mbuyuni, MECCO, JKT machimbo, Tegeta darajani, Salasala kwa Mboma, Kilimahewa, Salasala Benaco, RTD Salasala, Salasala Kijijini, Shule ya Sekondary Green Acres, baadhi ya Maeneo Kilongawima, Mbezi Africana, T-square bar, mbezi Majumba sita, Lugalo Salasala, Kinzudi na maeneo ya jirani.

ALHAMISI TAREHE 11/06/2015
Baadhi ya maeneo ya barabara ya  Mwaya na Chole, Kota za  Bandari, Fleti za NASACO , Kiwanda cha madini Kahama, Manzese, Valahala village, Kota za UNDP, Baobao village, Baadhi ya maeneo ya mtaa wa  Uganda, Morogoro store, IFM flats, Hostel za chuo cha Muhimbili (MUHAS), Kipepeo apartments, Hoteli za Sea cliff, court yard, Alexander na maeneo ya jirani, Mbezi juu, Mbezi samaki, Baraza la Mitihani Mbezi, Shule ya St. Marys mbezi, Mbezi garden, Ndumbwi, Mbezi kwa Msomali, Mbezi Makonde, Mbezi Machakani, Mbezi NSSF, Mbezi Masoko ya kariakoo flats, Mbezi Jogoo, Art Garlery, ATN/Agape Television, Kiwanda cha Maaza juice , Polypet, Interchik, Chemi & Cotex, Bagamoyo na Bunju yote, Tegeta CCM, Chanika, Njia panda ya wazo factory, Tegeta masaiti, Tegeta Namanga, Boko Basihaya, Boko CCM, Boko Maliasili, Boko National Housing, Ndege beach, Mbweni Kijijini, nyumba 151 za Serikali/Mh. Magufuli, Bakili Muluzi school, kwa Kala mweusi, Mbweni Mpiji, Kota za Wazo, Dogodogo centre, uwanja wa Nyuki, Ofisi ya Raisi flats, Mtaa wa Marando na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo:- Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kaskazini: 022 2700367, 0784 768584, 0716 768584 au namba za kituo cha miito ya simu 2194400  na 0768 985100        

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:

Post a Comment