June 9, 2015

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

MUDA:           02:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

TAREHE
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
SABABU
Alhamisi   Tar 11Juni
Kigamboni Yote, Mbagala Kuu, Kijichi, Mgeni nani, Camel Cement, AM Steel, Kimbangulile na Rangi Tatu sokoni
Matengenezo ya miundombinu ya 33kv na 11kv
Jumamosi, Tar 13 Juni
Mbagala Yote, Maweni Cement-Mkuranga na maeneo ya jirani
Matengenezo ya miundombinu ya 33kv

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-0222138352, 0788 499014, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 / 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:         OFISI YA UHUSIANO                              
                                TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment