June 10, 2015

KINONDONI KUSINIKATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE        jumamosi 13/06/2015

MUDA:           03:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

SABABU:        Matengenezo kwenye kituo kikubwa cha umeme Ubungo.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Coast Miller, Sita Steel, Nida textile, AMI, Mwananchi Communication, Azam TV, Maxon Ltd, Colour Print, Mikoami Traders, Royal Soap, Tanroad Mabibo, Teck Pack, Mabibo hostel, Tabata Mwananchi area, Eneo lote la Kimara, Eneo lote la Mbezi-Kimara, Makongo juu, Survey, Makoka, Goba, Tegeta A, Mpigi Magoe, Ubungo Kibangu, Dar brew, NBC Ubungo, TBS, Ubungo Bus Terminal, Rombo Green View Hotel, TBL ubungo, Pan Africa, Sinza Vatican, Sinza Madukani, Sinza palestina na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo Kinondoni Kusini dawati la dharura:  0222172393 –  0784271461, 0715271461, Au kituo cha miito ya dharura 2194400 or 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.No comments:

Post a Comment