June 4, 2015

KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-


TAREHE        Jumamosi, 06.06.2015 na Jumapili, 07.06.2015

MUDA:           Saa 03:00 Asubuhi – 10:00 Jioni

SABABU:       Matengenezo kwenye laini kubwa za umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Mlimani City, Shule ya Sheria, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ubungo Plaza, Magomeni, Mburahati, Kigogo, Makoka, Makabe, Goba, Mpigi magoe, kwembe, Tegeta A.


Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo Kinondoni Kusini dawati la dharura:  0222172393 –  0784271461, 0715271461, Au kituo cha miito ya dharura 2194400 au 0768 985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:            OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment