September 6, 2016

KATIZO LA UMEME - MKOA WA KATAVI                                          SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

                                                                 

KATIZO LA UMEME  -  MKOA WA KATAVI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Katavi kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:    6, 7 &9 Septemba, 2016 (JUMANNE, JUMATANO & IJUMAA)
 MUDA:       2:00 Asubuhi hadi  12:00 Jioni.           
SABABU:    Ukarabati wa  mashine za kuzalisha umeme kwenye kituo cha
 Kupooza umeme cha Mpanda na kubadilisha nguzo zilizooza ili                     Kuboresha hali ya umeme.

 MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Tarehe 6/09/2016  Jumanne:
Mpanda Hotel, Milala, Mpanda Girls, Makanyagio na minara ya simu ya mlimani.

Tarehe 7/09/2016  Jumatano:
Maeneo yote ya Halmashauri ya Nsimbo, Mji mwema, Kasimba, Majengo, Kawanjense 1&2, Nsemulwa k;wa Mkumbo, Nsemulwa Kichangani, Nsemulwa kwa Malaki, Madukani, Kazima na Chuo cha ufundi VETA Mpanda.

Tarehe 9/09/2016  Ijumaa:
Maeneo yote ya mji wa Mpanda, Nsimbo na vijiji vyake vyote pamoja na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo,Katavi dawati la dharura 0688 345 200, Au kituo cha miito ya simu 2194400 au 0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment