September 17, 2016

KATIZO LA UMEME - MKOA WA KINONDONI KUSINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:    Jumapili 18 Septemba, 2016  
 
MUDA:       02:00 Asubuhi hadi 12:00 jioni        
                                       
SABABU:  Matengenezo kwenye Kituo cha Kupozea Umeme - Ubungo 33kv ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
 Baadhi ya maeneo ya Nida, Epza Mandera,Sita Steel, Mataulo Mandera Road, BP Mandera Road, Mwananchi Commucation, SAS Mandera road,Simba Steel, Tanroad Mandera Road, Usangu garage, Maxon Paper,Azania Mills, Landmark Hotel, Olam, Coastal Miller, Tridea Cosmetics pamoja na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo;-

Dawati la dharura Mkoa wa Kinondoni Kusini 0222171759/66/0784/0715271461, Kimara Ofisi ya Wilaya 0717/0788379696 Au Kituo cha miito 2194400/0768 985100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment