September 10, 2016

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA


 KATIZO LA UMEME MKOA WA KILIMANJARO

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) MKOA WA KILIMANJARO linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme siku ya jumapili 11/09/2016  kuanzia saa 04:00 asubuhi hadi saa 10:00jioni

SABABU
Maboresho katika kituo cha kupoozea umeme cha Kiyungi,maboresho haya yanalenga kuongeza upatikanaji wa umeme .

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA NI:-
Moshi   
·       Shanttown yote,Moshi mjini yote,Machame yote,Kibosho yote, Mailisita yote,Magereza Karanga,KCMC hospital
·       TPC,Kiyungi,Karangayote,Kahe,Mabogini,Pasua,Njoro,
Matindigani,Msaranga
·       OldMoshi,Kiboroloni,Uru,Rau,Longuo(kcmc),Mbokomu,
Mjohoroni,Sango,Mbwa haruki  na Maeneo ya jirani.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza,

Tafadhali usishike waya ulionguka,Kwa mawasiliano zaidi namba zetu za dawati la dharula  mkoa:-  0765397925,0682771310 na 027275507/8

Imetolewa na :-

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment