September 24, 2016

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo amefanya ziara ya kukagua miradi ya umeme vijijini Mkoani Kigoma


Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali col. Hosea Maloda Ndagala akisoma taarifa fupi ya maendeleo ya Wilaya Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo .Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akiongea na wanakijiji (hawapo pichani) wa Wilaya ya Kakonko Mkoani wa Kigoma juu ya suala zima la mradi wa umeme vijijini(REA wamu ya pili)

Meneja wa Mkoa wa Kigoma Muhandisi Masingija Lugata akitoamaeleza kwaWaziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo juu ya umeme vijijini wamu ya pili.

Mwanakijiji wa Wilaya ya Kakonko Mbwana Emmanuel Lwiginyiza akieleza kero yake kuhusiana na swala zima la umeme Vijijini awamu ya piliMkuu wa Wilaya ya Kibondo Bw. Luis Peter Bura akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo Wilayani Kinondo


                               Katibu wa Wilaya ya Kibondo Bw. Ayoub Simbambili akisoma taarifa fupi


Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akisalimiana na Afisa wa TANESCO Wilaya ya Kakonko  Bw. Thomas Mwinuka baada ya kuwasili Mkoani hapo

2 comments:

  1. Waziri nampongeza kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini anakwenda vizuri awambie watumishi was shirika LA umeme nchi waongeze bidii ya Nazi

    ReplyDelete
  2. Waziri nampongeza kwa kasi yake ya kusambaza umeme vijijini anakwenda vizuri awambie watumishi was shirika LA umeme nchi waongeze bidii ya Nazi

    ReplyDelete