September 7, 2016

Shirika la umeme Tanzania TANESCO

 TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALA NA TEMEKE

                                
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaharifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE  :    10 & 11/09/2016
                    
MUDA                  :     2:00 Asubuhi - 12:00 Jioni

SABABU   : UBORESHWAJI WA KITUO KIKUBWA CHA KUSAMBAZA UMEME
                   CHA ILALA.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

Maeneo yote ya kati kati ya jiji, Maeneo yote ya Upanga, Maeneo yote ya Kariaokoo, Maeneo yote ya Buguruni, Maeneo yote ya Ilala pamoja, Mbagara yote, Chang’ombe yote, Kurasini yote, Kiwanda cha saruji Maweni, Wizara ya utalii, Tusiime mission, Tanzania oxygen, Ofisi ya manispaa ya Temeke, Unilever, Mkuu wa wilaya Temeke, Uwanja wa Taifa, Makao makuu ya Puma, Temesa, Jamana printers, Quality Plaza, Notco, Bima ya afya, Bandari gate na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Kwa Huduma za Dharura piga;-Dawati Letu la Huduma za Dharura Ilala:
022 213 3330, 0784 768586, 0715 76 85 86, Temeke: - 0712 052720, 022 2138352 AU Huduma ya Miito ya Simu 2194400 or 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:-         OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment