Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO
Linapenda Kuwaarifu Wateja wake wa Mkoa wa Ilala na Wilaya ya Kisarawe
Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama Inavyoonyeshwa Kwenye Jedwali
lifuatalo:-
TAREHE
|
SABABU
|
MUDA
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumatano
16/04/2014
|
Kufunga Kifaa cha Umeme na Kukata Matawi ya Miti Yanayozonga Njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme
|
3:00Asubuhi-11:00Jioni
|
Maeneo ya Karakata,Sitakishari kwa wachina,Karakata Kilimani Pub,Karakata kwa mama Shoo,Ukonga,Mongo la
Ndege,Ulongoni,Pugu,Kisarawe,Kiwanda cha Namera ,KIU,JWTZ Gongo la Mboto,TRC Pugu Station na maeneo ya jirani.
|
Alhamisi
17/04/2014
|
Kubadilisha Nguzo za Transfoma zilizooza na Kukata matawi ya Miti kwenye Njia ya Msongo mkubwa wa Umeme.
|
3:00Asubuhi-11:00Jioni
|
Maeneo ya Kitunda,Kipunguni A,Kipunguni Mashariki,JWTZ Kitunda,Maeneo ya Kivule,Mwanagati,Kibeberu,Nyantira,Magore
Magereza Ukonga,Ukonga Mwembe madafu,Ukonga Mombasa,Ukonga FFU,Ukonga banana na maeneo ya Jirani.
|
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga
022 213 3330, 0784 768586, Ilala Regional office, (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Shirika Linasikitika Kwa usumbufu Wowote unaoweza Kujitokeza.
Limetolewa na :
Ofisi ya Uhusiano
Tanesco-Makao Makuu
No comments:
Post a Comment