April 9, 2014

MKOA WA ILALA

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu Wateja wake wa Mkoa wa Ilala Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama Inavyoonyeshwa Kwenye Jedwali lifuatalo:-
TAREHE
SABABU
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
11/04/2014
Kuhamisha Njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme karibu na Kiwa nda cha Mabomba,Kubadilisha Nguzo zilizooza na Kukata Matawi ya Miti  yanayozonga Njia za Msongo Mkubwa wa Umeme za Ubungo na Segerea.
2:00Asubuhi-12:00Jioni
Tabata yote Maeneo ya (kimanga,kisukulu,kinyerezi,segerea,bima,chang’ombe,mawenzi,
Kisiwani, aroma,) kipawa, Karakata kwa Bukuru,kwa Bi Esta, Maeneo ya Professor Mbaga,kwa Ngosha,Mogo,Karakata Miembeni,Kiwanda cha mabomba na maeneo yanayozunguka.
12/04/2014
Kufanya maboreshoKwenye njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme ya C6, Kubadilisha Nguzo zilizooza na Kukata Matawi ya miti katika njia hiyo.
 
PCCCB Office Upanga,Ngome Upanga,Shaban Robert Secondary school,Tumaini Hospital,Hightech Sai health Care,Agha-khan street, Palm beach hotel, Diamond Jubilee hall,Tunakopesha Upanga office and surrounding areas,UN-Road,Maliki road and surrounding areas,Magore.Tambaza secondary school and surrounding areas. 
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga
022 213 3330, 0784 768586, Ilala Regional office, (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Shirika Linasikitika Kwa usumbufu Wowote unaoweza Kujitokeza.
Limetolewa na,  Ofisi ya Uhusiano,
                      Tanesco-Ofisi ya Uhusiano,

No comments:

Post a Comment