Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Ilala Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE NA MUDA
|
SABABU
|
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
|
Jumatano
30/04/14
3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
|
Kufunga vifaa cha umeme (Transformer, load breaker switch na auto reclosure) na kukata miti iliyo chini ya nyaya za umeme
|
Eneo
lote la Ukonga, Gongolamboto, Mongolandege, Ulongoni yote,Majohe mji
mpya, Kampala university, JWTZ Gongolamboto, Kipunguni B, Ukonga,
mazizini, Magereza Ukonga, Ukonga madafu na maeneo yaliyokaribu na hayo
|
Jumamosi
03/05/2014
3:00 Asubuhi – 11:00 Jioni
|
Kuboresha, Kubadilisha Nguzo zilizooza na kukata Matawi ya Miti Kwenye njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme
|
Hospitali ya Aghakhan , Maeneo ya mtaa wa Aghakhan, mtaa wa Sea view, Benki ya Baclays, Hoteli ya Serena, Jengo la
PPF, Ofisi ya Posta, Wizara ya Mambo ya Ndani, Jengo la Exim, Mtaa wa Mirambo na maeneo ya jirani.
|
Jumamosi
03/05/14
3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
|
Kubadilisha nguzo zilizooza,
Kufunga kifaa cha umeme (auto reclosure) na kukata miti iliyo chini ya nyaya za umeme
|
Kitunda, Kivule, Mwanagati, Kibeberu, Nyantira, Magore na maeneo yaliyokaribu na hayo
|
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga
022 213 3330, 0784 768586, Ofisi ya Mkoa Ilala, (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na : OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment