April 23, 2014

MKOA WA ILALA

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Linapenda Kuwaarifu Wateja wake wa Mkoa wa Ilala Kuwa Kutakuwa na Katizo la Umeme kama Inavyoonyeshwa Kwenye Jedwali lifuatalo:-
TAREHE
SABABU
MUDA
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Jumapili
27/04/2014
Kuboresha , Kubadilisha Nguzo Zilizooza na Kukata Matawi ya Miti Kwenye njia ya Msongo Mkubwa wa Umeme
Saa 03:00
asubuhi hadi 11:00 jioni.
 
Ofisi za Takukuru Upanga,makao Makuu ya jeshi Ngome Upanga,Shule ya Sekondari ya Shaban Robert,Hospitali ya Tumaini,Hitech sai Health care,mtaa wa Agha-Khan,Hoteli ya palm Beach,Ukimbi wa mikutano wa diamond jubilee,Ofisi za Tunakopesha Upanga na maeneo ya jirani,Barabara ya Umoja wa Mataifa na maeneoya jirani,Maeneo ya mtaa wa magore na maeneo ya jirani,Shule ya Sekondari ya Tambaza na maeneo ya Jirani.
Jumatatu 28/04/2014      
Kubadilisha Nguzo za Msongo Mkubwa wa Umeme zilizooza na Kukata Miti.
 
4:00Asubuhi
hadi
10:00Jioni
Kituo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga, Majumba Sita, Segerea Seminary, Airwing Jeshini, Airport Terminal One, Karakata kwa Mazongera,  Jeje Industry, Kamaka Industry, Bakhresa Kipawa, Samaki,  Baadhi ya Maeneo ya Kipawa na Maeneo yanayozunguka.
Kwa Matukio ya Dharura Tafadhali Piga
022 213 3330, 0784 768586, Ofisi ya Mkoa Ilala, (Call centre numbers) 022-2194400 au 0768 985 100
Shirika Linasikitika Kwa usumbufu Wowote unaoweza Kujitokeza.
Limetolewa na :    Ofisi ya Uhusiano,
                               Tanesco-Makao Makuu,

No comments:

Post a Comment