April 8, 2014

KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      10, Aprili 2014 (Jumanne)

                    

SAA:        3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

SABABU:     Kuhamisha njia ya umeme barabara ya Alli Hassan Mwinyi, Kukata miti iliyo chini ya laini.

                                

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:

ITV na Radio One, Tan pack tissues,Mwenge Kijijini, Bamaga,Chuo cha Ustawi wa Jamii,Tume ya Sayansi,Polisi Mabatini,Flats za Chuo cha Ustawi wa Jamii,Afrika sana,TRA Mwenge,Shule ya Msingi Mapambano,Flats za Chuo Kikuu cha dar es salaam, Meeda bar street,Blue bird area,flats za Jeshi TPDF Mwenge,Mama Ngoma hospital,TBC flats,Ikangaa street,BOT flats,Maeneo ya Mwlm Nyerere, Mwinyi na Warioba, Baraka plaza, Regency park hotel, Maji mchafu, Heineken, Shekiland, Msasani kwa Mamwinyi, Soko la samaki, Double Tree hotel. Government houses Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL Kijitonyama, Earth satelite, Tume ya vyuo vikuuTanzania, Millenium tower, Letisia tower, CRJE, Heko Kijitonyama, Mji mwema, Kijitonyama Ali maua, Kijitonyama Kisiwani, Maeneo ya Mh.Anna Makinda, Maeneo ya Queen of Sheba, Bobs motel, Roman Catholic church Kijitonyama, Johannesburg & Wanyama & Lion hotels, Light industries of Magodoro Dodoma, Kays Hygine products, Cocacola Kwanza, BIDCO, Soza plastics, Quality plastics. Eneo la Biashara Mikocheni, Shule ya Msingi Ushindi , BIMA flats, Five star, Mikocheni 'B' Assemblies of God, Barabara ya Cocacola, Msasani beach, Kawe beach, Kawe Maringo, Clouds entertainment, K-Net tower. Iron & Steel industry, MMI steel mills Mikocheni na maeneo ya jiraniImetolewa na:       OFISI YA UHUSIANO,

                               TANESCO MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment