April 9, 2014

MKOA WA TEMEKE

        TAARIFA YA KATIZO LA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 10/04/ 2014, Alhamis 
MUDA:    3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
SABABU: Kufanya ukarabati katika laini za umeme
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA: Maeneo yote ya Charambe, Majimatitu, Kimbangulile, Chamazi, Mbande, Msongola, Saku, Viwandani, Kiburugwa, Kingugi, Nzasa, Kilungule, Kizuiani, Kwa Manganya, Sabasaba, Bugudadi, Mtoni, Kizinga, Kibondemaji, Dar cement, Mbagala jeshini,Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, Mission, KTM, Miande, Kongowe na Mkuranga.
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-
0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /
0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
                                  Imetolewa na : 
                           Ofisi ya Uhusiano                               
                    Tanesco-Makao Makuu                                                    

No comments:

Post a Comment