April 1, 2014

KINONDONI KASKAZINI

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME .
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE:      03 April 2014 (Alhamisi)
                    
SAA:        3:00 asubuhi  hadi saa 11:00 jioni.
SABABU:    Kukata miti iliyo chini ya laini na Matengenezo Mengine
                                
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Nyumba za Serikali Mikocheni, TPDC, Rose Garden, TTCL Kijitonyama,Earth satelite,Commission of Universities of Tanzania,Millenium tower,Letisia tower,CRJE,Heko Kijitonyama, Mjimwema, Kijitonyama Ali maua, Kijitonyama Kisiwani, Eneo la Mh.Anna Makinda ,Contena bar, Eneo la Queen of Sheba, Bobs motel, Kanisa la Kikatoliki Kijitonyama,Johannesburs, Wanyama, Lion hotels, Sehemu ya Barabara ya  Mwaya na  Chole , Kota za Bandari, NASACO flats, Kahama mining, Manzese, Valahala village, UNDP quorters, Baobao village, Part of Uganda street, Morogoro store, IFM flats, Muhimbili (MUHAS) university hostel, Kipepeo apartments, Sea cliff court, Alexander hotel na Maeneo ya jirani
Imetolewa na:       OFISI YA UHUSIANO,
                               TANESCO MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment