Shirika la Umeme Tanzania
TANESCO linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SABABU: Kukata miti iliyopo kwenye laini kubwa na kubadilisha
nguzo zilizooza.
TAREHE & MUDA
|
ENEO
|
Jumatano
02/04/2014 saa 03:00-11:00 Jioni
|
Sinza Uwanja wa TP, Sinza Vaticani,Namnani Hotel, Iteba Sinza Kijiweni, Sinza Kumekucha, Mwika,Sinza Kwa Remi,
Tandale Magharibi,Tandale Uzuri,Chakula bora,Manzese
uzuri,Manzese Tip top, Manzese darajani,Msikiti wa Kione Manzese Kwa
Mfuga Mbwa,Manzese Kanisa Katoliki,Ofisi za Kampuni ya simu, Urafiki
Quarters, Tandale kwa Mtogole, Tandale kwa Ally Maua, Tandale
Behobeho, Tandale kwa
Tumbo,
Tandale Shuleni,Kanisa Katoliki Tandale,Tandale Sokoni, Tandale
dispensary, Urafiki Textile,TSP Ltd Millenium business na maeneo ya
jirani.
|
Alhamisi
03/04/2014
Saa 3:00 asubuhi – 11:00 jioni
|
Mabibo
mwisho, Chuo cha Usafirishaji (NIT ), TGNP Mabibo, Msd Mabibo,
Techpark Ltd , Nbc Ubungo, Rubada, Tanesco staff quarters Sumnujoma Rd,
Pan Africa,
TSP, Ubungo Maziwa, Ubungo NHC, Ubungo bus terminal, TBS, Dar Brew
(CHIBUKU ), Twiga Cement Ubungo, SOS Children along Sumnujoma Rd ,
Sinza Ukuta Posta na maeneo yajirani.
|
Alhamisi
03/04/2014
Saa 3:00 asubuhi– 11:00 jioni
|
Mabibo
Makuburi, Mandela road, Mabibo Jeshini, Ubungo Kibangu, Mabibo Relini,
Mabibo Shungashunga, Ubungo Maziwa,Mabibo UDSM Hostel,
Coast Miller ana maeneo yajirani
|
Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia simu zifuatazo
0222171762 – 65, 0784271461, 0715271461, Au Call centre number 2194400 or 0768 985100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
Tanesco-Makao Makuu.
No comments:
Post a Comment