October 27, 2014

KATIZO LA UMEME KWA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, SIMIYU, MARA, TABORA NA GEITA.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO ) LINAWATAARIFU WATEJA WAKE WA MIKOA YA MWANZA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU, MARA NA TABORA KUWA KUTAKUWA NA KATIZO LA UMEME SIKU YA JUMANNE YA TAREHE 28/10/2014 KUANZIA SAA 2.00 ASUBUHI HADI SAA 12.00 JIONI.  SABABU NI MATENGENEZO KWENYE NJIA KUU YA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA SIGINDA HADI IBADAKULI  - SHINYANGA.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:-
MAENEO YOTE YA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, SIMIYU, MARA, TABORA, NA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA GEITA HUSUSANI WILAYA YOTE YA GEITA.

TAHADHARI:
TAFADHALI USISHIKE WAYA ULIOKATIKA, TOA TAARIFA KUPITIA SIMU ZIFUATAZO:
MKOA WA SHINYANGA NA SIMIYU:     +255 282762120, 0754 520070, 0783 520070.
MKOA WA MWANZA NA GEITA: +255 28250OO90, +255 282501060,
MKOA WA TABORA:                                  +255 2802605440.
MKOA WA MARA:                                       +255 282622020, 0732298572, 0737165087.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


IMETOLEWA NA:   OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO - MAKAO MAKUU. 


No comments:

Post a Comment