October 21, 2014

KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKEShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake Wa Mkoa wa Temeke kuwa, kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Alhamisi 23/10/ 2014, Jumamosi 25/10/2014, Jumatatu 27/10/2014

MUDA:           03:00 Asubuhi – 12:00 jioni

SABABU:      Kufanya maengenezo kwenye line ya Kigamboni na kubadilisha nguzo zilizooza na kukata miti
              
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA-

Alhamisi 23/10/2014           -           KIGAMBONI YOTE

Jumamosi 25/10/2014         -           KIGAMBONI YOTE

Jumatatu 27/10/2014          -           KIGAMBONI YOTE

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia Dawati la dharura Mkoa wa Temeke:-0222138352, 0732 997361, 0712 052720, au Kituo cha miito ya simu 022 2194400 /0768 985 100

Uongozi unasikitika Kwa usumbufu wowote utakaojitokeza


Imetolewa na:          OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.
 


No comments:

Post a Comment