October 30, 2014

TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME

Shirika linaendelea kuomba subira kwa wateja wake kutokana na usumbufu wa kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara kwa baadhi ya Mikoa kwa takribani siku 5 sasa.

Sababu ya kwanza ni matengenezo na ukarabati wa miundombinu yanayoendelea ya kubadilisha nguzo zilizooza na kukata matawi ya miti yanayogusa nyaya kabla kipindi cha mvua hakijaanza.

Sababu ya pili ni matengenezo kwenye visima vya gesi huko songosongo kunakosababisha mitambo ya gesi kutopata gesi ya kutosha. Matengenezo ya miundombinu hiyo ni pamoja na visima vya gesi.

4 comments:

  1. Another excuse. Hivi hili tatizo la kukatika umeme litaendelea mpaka lini? Kwa nini mnatufanya tukubali uzembe kama ndio kiwango cha kufanya kazi?

    ReplyDelete
  2. Almost five consecutive days umeme unakatika without any prior information..wht do they espect us to feel..

    ReplyDelete
  3. New day, new excuse. Kwani matngenezo ni ghafla au ni mipango. Kwa nini hamtoi taarifa?

    ReplyDelete