October 7, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA ILALAShirika la Umeme Tanzania TANESCO linasikitika kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala  kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-

TAREHE:      Jumapili,  12/ 10/ 2014         
                     
SAA:               2:00 Asubuhi - 12:00 Jioni

SABABU:  Kubadilisha nguzo zilizooza, Kukata miti chini ya line, Kuimarisha
                            maungio ya waya katika line yenye msongo wa umeme wa 33KV
                        Sokoine.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Regency hospital,Tanesco Ilala, , Widhara ya Fedha, BOT, IFM , Luther House, New Africa hotel,VIVA Tower, TTCL HQ, Hotel ya Southern sun,, Chuo cha Utalii. Ikulu, Ocean road hospitali, Mtaa wa Mirambo,Ferry ,Wizara ya Afya, Ofisi ya Waziri mkuu, sokoine drive, Mtaa wa Luthuli,CRDB Holland house, British council, Makao makuu ya Magereza, TBA, Sukari house, Jengo la PSPF, Steers, Garden avenue, Baadhi ya maeneo ya Samora, IFM, Amani place, Wizara ya Nishati na Madini, na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
 022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. au Call centre namba 2194400  au 0768 985 100

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:-           OFISI YA UHUSIANO,
                                    TANESCO – MAKAO MAKUU.

No comments:

Post a Comment